Habari za Punde

Mafunzo juu ya matumizi ya mashine za kielektroniki yafanyika kisiwani Pemba

 Mkuu wa Mkoa Kusini Pemba Mwanajuma Majid Abdalla akifungua mafunzo ya siku moja yaliyoandaliwa na mamlaka ya mapato ZRB kuhusiana na matumizi ya mashine za elekroniki

Mkuu wa Mkoa wa Kusini Pemba Mwanajuma Majid Abdalla akizungumza na Wakuu wa Wilaya za Pemba,Wakurugenzi wa Mabaraza ya mji pamoja na wakurugenzi wa halmashauri za Pemba katika mafunzo ya matumizi ya mashine za kielektroniki katika ukumbi wa ZSSF Chake Chake Pemba

Mkuu wa Wilaya ya Micheweni akichangia mada katika mafunzo yaliyoandaliwa na ZRB namna ya utumiaji wa mashine za kielektroniki

 Wakuu wa vikosi vya Idara Maalum za SMZ wakimsikiliza Kamishna wa ZRB katika mafunzo ya utumiaji wa mashine za kielektroniki (EFD) ambazo zinatarajiwa kutumika hivi karibuni, mkutano huo ulifanyika katika ukumbi wa ZSSF Chake Chake Pemba

Picha na Said Abdulrahman , Pemba

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.