Habari za Punde

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Shein Akutana na Ujumbe wa Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Madola Ikulu Zanzibar.


Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) alipokuwa akisisitiza jambo wakati akizungumza na  Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Madola  Bibi Patrica  Baroness Scotland alipofika Ikulu Mjini Unguja leo akiwa na ujumbe aliofuatana nao katika ziara ya siku moja
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) alipokuwa akizungumza na  Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Madola  Bibi Patrica  Baroness Scotland alipofika Ikulu Mjini Unguja leo akiwa katika ziara ya siku moja na ujumbe aliofuatana nao
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) alipokuwa akizungumza na  Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Madola  Bibi Patrica  Baroness Scotland (wa pili kulia) alipofika Ikulu Mjini Unguja leo akiwa katika ziara ya siku moja na ujumbe aliofuatana nao,(katikati) Balozi wa Tanzania Nchini Uingereza Dr.Asha-Rose Migiro
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein na Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Madola  Bibi Patrica  Baroness Scotland (katikati) wakiwa katika mazungumzo pamoja na ujumbe aliofuatana nao Katibu huyo wakiwepo na Viongozi wa Serikali ya Mapinduzi katika ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja leo,ujumbe huo ulipofika nchini kwa ziara ya kutwa moja,[Picha na Ikulu.] 11/08/2017.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.