Waziri wa Kazi Uwezeshaji Wazee Vijana na Wanawake na Watoto Zanzibar Mhe Maudline Castico akiwasili katika ukumbi wa mkutano na kutembelea maonesho ya Vijana wakati wa hafla hiyo iliofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Zanzibar Beach Resort Mazizini Zanzibar.
Waziri Castico akipata maelezo wakati akitembelea maonesho hayo.
TIA YAANZISHA KAMPASI MPYA MKOANI TANGA
-
NA EMMANUEL MBATILO
TAASISI ya Uhasibu Tanzania (TIA) imeanzisha Kampasi mpya ya TIA mkoani
Tanga, ambayo inalenga kuhudumia wanafunzi kutoka kanda ya Kask...
7 hours ago
No comments:
Post a Comment