Habari za Punde

Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein Atowa Mkono wa Eid Al Hajj Kwa Wazee wa Welezo na Sebleni Zanzibar. Katika Makazi Yao.rmKE WA

  
Waziri wa Kazi Uwezeshaji Wazee Vijana Wanawake na Watoto Zanzibar Mhe. Maudline Castico akizungumza na kutowa nasaha zake kwa Wazee wa Kijiji cha Welezo Zanzibar akimuwakilisha Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein, kutowa mkono wa Eid Al Hajj kwa Wazee hao katika makaaazi yao Welezo Zanzibar.
Wazee wa Kijiji cha Welezo wakimsikiliza Waziri wa Kazi Uwezeshaji Wazee Vijana Wanawake na Watoto Zanzibar Mhe Maudline Castico akiwasilisha salamu za Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein, wakati wa hafla hiyo ya kutowa mkono wa Eid Al Hajj kwa wazee hao katika makazi yao welezo Zanzibar. 
Wazee wa Kijiji cha Welezo wakimsikiliza Waziri wa Kazi Uwezeshaji Wazee Vijana Wanawake na Watoto Zanzibar Mhe Maudline Castico akiwasilisha salamu za Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein, wakati wa hafla hiyo ya kutowa mkono wa Eid Al Hajj kwa wazee hao katika makazi yao welezo Zanzibar. 
Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Mhe. Riziki Pembe Juma akitowa mkono wa Eid Al Hajj kwa Wazee Kijiji cha Welezo Zanzibar akimuwakilisha Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein, 
Waziri wa Kazi Uwezeshaji Wazee Vijana Wanawake na Watoto Zanzibar Mhe. Maudline Castico akimpa mkono wa Eid Al Hajj Mzee wa kijiji cha Welezo Suleiman Mayala (Yesu) wakati wa hafla hiyo iliofanyika katika kijiji chao welezo Zanzibar, kushoto Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Mhe Riziki Pembe Juma.
Waziri wa Kazi Uwezeshaji Wazee Viana Wanawake na Watoto Zanzibar Mhe. Maudline Castico akimpa mkono wa Eid Al Hajj Bi.Fatma Mohammed. 
Wazee wa Nyumba za Wazee Sebleni wakiwakatika ukumbi wa mkutano wa makaazi yao wakimpokea Waziri wa Kazi Uwezeshaji Wazee Vijana Wanawake na Watoto Mhe. Maudline Castico na ujumbe wake walipofika katika makaazi yao kutowa mkono wa Eid Al Hajj. 





Mzee wa Nyumba za Wazee Sebleni Bi Asaa Issa akitowa neno la shukrani kwa niaba ya wazee wezake baada ya hafla hiyo.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.