Habari za Punde

Profesa Mazrui Akitowa Mada Katika Kongamano la Kimataifa la Kiswahili Zanzibar.

Profesa Alamin Mazrui akiwasilisha Mada yake katika Kongamano la Kwanza la Kimataifa la Kiswahili linalofanyika Zanzibar akiwasilisha Mada inayozungumzia Katika Dira ya Afrika Mashariki. Anatowa Taaluma ya Utamaduni katika Chuo Kikuu cha RutgersAmerikan 

Progfesa Alamin Mazrui akisisitiza jambo wakati akitowa Mada katika Kongamano la Kwanza la Kiswahili la Kimataifa lililofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Malindi Zanzibar. 
No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.