WANANCHI
mbali mbali na wadau wengine wa Kituo cha Huduma za Sheria
Zanzibar ZLSC tawi la Pemba, wakifuatilia kongamano la siku ya kimataifa, ya
kupinga adhabu ya kifo, lililofanyika ukumbi wa Jeshi la Polisi, wilaya ya
Chakechake Pemba, (Picha na Haji Nassor,
Pemba)
WANANCHI
mbali mbali na wadau wengine wa Kituo cha Huduma za Sheria
Zanzibar ZLSC tawi la Pemba, wakifuatilia kongamano la siku ya kimataifa, ya
kupinga adhabu ya kifo, lililofanyika ukumbi wa Jeshi la Polisi, wilaya ya
Chakechake Pemba, (Picha na Haji Nassor,
Pemba)
MWANASHERIA dhamana wa
Afisi ya Mkurugenzi wa mashitaka kisiwani Pemba, Ali Rajab Ali akiwasilisha
mada kwenye kongamano la siku ya kupinga adhabu ya kifo, lililoandaliwa na
Kituo cha Huduma za Sheria Zanzibar ZLSC tawi la Pemba na kufanyika ukumbi wa
mikutano wa Jeshi la Polisi wilaya ya Chakechake, (Picha na Haji Nassor, Pemba).
MTENDAJI wa Jeshi la
Polisi mkoa wa kusini Pemba Mohamed Maalim, akiomba ufafanuzi wa jambo, kwenye kongamano
ya kupinga adhabu ya kifo, lililoandaliwa na Kituo cha Huduma za Sheria
Zanzibar ZLSC tawi la Pemba, na kufanyika ukumbi wa Jeshi la Polisi wilaya ya
Chakechake, (Picha na Haji Nassor,
Pemba).
MJUMBE wa bodi wa Kituo cha Huduma za Sheria Zanzibar
ZLSC, Daud Othman Kondo, akizungumza kwenye ufungaji wa kongamano la siku ya kupinga
adhabu ya kifo, lililofanyika ukumbi wa Jeshi la Polisi wilaya ya Chakechake,
kisiwani Pemba, (Picha na Haji Nassor,
Pemba).
WATENDAJI wa Kituo
cha Huduma za Sheria Zanzibar ZLSC tawi la Pemba, wakiongozwa na mjumbe wao wa
bodi Daud Othaman Kondo, wakiwa katika picha ya pamjo na wasanii wa kampuni ya
Jufe Film Production ya Wete, mara baada ya kumalizika kwa kongamano la kupinga
adhabu ya kifo, lililofanyika ukumbi wa Jeshi la Polisi wilaya ya Chakechake, (Picha na Haji Nassor, Pemba).
No comments:
Post a Comment