Habari za Punde

Mahafali ya 16 ya Skuli ya SOS Zanzibar Yafana Kwa Michezo Mbalimbali Iliooneshwa na Wanafunzi wa Kindergaten Wakati wa Hafla Hiyo Iliofabnyika Katika Ukumbi wa Skuli Hiyo.


Naibu Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Mhe. Mgeni Hassan akimkabidhidhi zawadi mmoja wanafunzi wa skuli hiyo wakati wa hafla ya mahafali ya 16 yaliofanyika katika viwanja vya skuli hiyo ilioka katika Kijiji cha SOS mombasa Zanzibar. No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.