Habari za Punde

TCRA Yatowa Utaratibu wa Kuwasilisha Malalamiko Kwenye Sekta ya Mawasiliano.

Naibu Mkurugenzi Masuala ya Watumiaji wa Huduma za Mawasiliano TCRA Thadeyo Ringo akizungumza na waandishi wa habari wa vyombo mbalimbali vilioko Zanzibar kuhusiana na kuwasilisha Malalamiko kwenye sekta husika ya mawasiliano wakati linapotokea kosa kupitia mitandaoni, mkutano huo umefanyika katika ukumbi wa Wizara ya Ujenzi Usafirishaji na Mawasiliano Kisauni Zanzibar.
Waandishi na Maofisa wa TCRA Zanzibar wakifuatilia mkutano huo na waandishi wa habari Zanzibar.
 Mwenyekiti wa Malalamiko Mjumbe wa Bodi ya TCRA,Bi. V. Msoka akifafanua jambo wakati wa mkutano huo akijibu maswali yalioulizwa na waandishi wa habari wakati wa mkutano huo. 
Waandishi wa habari wakijifunzi jinsi ya kujua simu feki na kama simu yako imesajiliwa na kampuni ya simu unayotumia.

Waandishi wa habari wakijifunzi jinsi ya kujua simu feki na kama simu yako imesajiliwa na kampuni ya simu unayotumia.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.