Baadhi ya Wafanyakazi wa Wizara hiyo kutoka Ofisi kuu Pemba, wakimsikiliza kwa makini Mdhamini huyo juu ya sheria mbali mbali juu ya Idara hiyo .
Baadhi ya Wafanyakazi wa Wizara hiyo kutoka Ofisi kuu Pemba, wakimsikiliza kwa makini Mdhamini huyo juu ya sheria mbali mbali juu ya Idara hiyo
Mdhamini wa Idara ya Kupambana na Rushwa na Uhujumu Uchumi Zanzibar (ZAECA), Mkoa wa Kusini Pemba, Suleiman Juma Amme, akizungumza na Wafanyakazi wa Wizara ya Habari , Utalii na Michezo walioko Ofisi kuu Pemba, juu ya Sheria ya mambo mbali mbali yanyohusiana na uhujumu Uchumi, kuliani kwake ni Ofisa Elimu kwa Umma kutoka Idara hiyo , Futari Mzee Ali na kuliani kwake ni Mkuu wa Utawala na Uendeshaji wa Wizara hiyo Alhaji, Moh'd Juma Rashid,
PICHA NA HABIBA ZARALI -PEMBA.
No comments:
Post a Comment