Askofu wa kanisa laKatoliki jimbo la Zanzibar, Augustino Shao (mwenye fimbo) akiingia kwenye kanisa
la Mtakatifu Joseph kuongoza Ibada ya mkesha wa Krismas jana.
Askofu Shao akitoa ujumbe wa Krismasi kwenye mkesha huo jana.
Baadhi ya waumini waliohudhuria Ibada ya mkesha wa Krismasi wakimsikiliza Askofu Shao.
Waumini wakiwa katika foleni kutembelea pango alikozaliwa mtoto Yesu kwenye mkesha wa Krismasi jana.
Mkuu wa mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Ayoub Mohamed (pichani) alitembelea kanisa hilo akifuatana na baadhi ya wakuu wa vyombo vya ulinzi kuangalia usalama kwenye mkesha huo ambapo alipata fursa ya kuongea na waumini wa kanisa hilo
Picha zote na Martin Kabemba.
No comments:
Post a Comment