Habari za Punde

Maadhimisho ya siku ya Afya duniani Mkoa wa Kaskazini Unguja

  WAZIRI wa Afya Zanzibar Hamad Rashid Muhamed akiangalia huduma mbalimbali zilizokua zikitolewa kituoni hapo.
 MWAKILISHI wa Shirika la Afya Ulimwenguni WHO Dkt Ghirmay Andemichael akizungumza katika maadhimisho hayo
 WAZIRI wa Afya Zanzibar Hamad Rashid Muhamed akiwahutubia wananchi mbalimbali waliohudhuria katika maadhimisho hayo yaliofanyika katika Kijiji cha Kijini  Matemwe Mkoa wa Kaskazini Unguja.
 Licha ya mvua iliokua ikiendelea kunyesha Waandishi wa Habari hawakua nyuma kuchukua habari katika maadhimisho hayo.
 MKUU wa Wilaya ya Kaskazini ‘A’ Unguja Hassan Ali Kombo akitoa shukurani kwa  Wizara ya Afya Zanzibar  ilivyo ichagua Wilaya yake Kufanya maadhimisho ya mwaka huu.
  KIKUNDI cha Wasani cha TUKIKIZA cha Magomeni Zanzibar kikitoa burudani mbalimbali katika shamra shamra za sherehe za maadhimisho ya 70 ya siku ya Afya Duniani zilizofanyika katika kijiji cha Kijini Matemwe Mkoa wa Kaskazini Unguja.
  WAZIRI wa Afya Zanzibar Hamad Rashid Muhamed akiwaongoza viongozi mbalimbali kuangalia burudani zilizokua zikitolewa na wasanii wa kikundi cha TUKIKIZA cha Magomeni Zanzibar.
WAZIRI wa Afya Zanzibar Hamad Rashid Muhamed watatu kutoka kushoto akipiga picha ya pamoja na wageni mbalimbali.
(Picha na Abdalla Omar Maelezo – Zanzibar).​

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.