AFISA kutoka Tume ya
Ukimwi Pemba, Ali Mbarouk Omar akiwasilisha malengo ya mkakati wa mabadiliko ya
tabia na afya ya uzazi kwa vijana, huko katika ukumbi wa Tasaf Chake Chake
Pemba
WASHIRIKI mbali mbali wa mkakati wa mabadiliko ya tabia na afya
ya uzazi kwa vijana, wakifuatilia uwasilishwaji wa mkakati huo huko katika
Ukumbi wa Tassaf Chake Chake Pemba.(Picha na Abdi Suleiman Pemba)
No comments:
Post a Comment