Habari za Punde

Wanasheria Wakuu SMT na SMZ wakutana

Mwanasheria Mkuu wa Serikali Dk. Adelardus Kilangi amekutana na kufanya mazugumzo na Mwanasheria Mkuu wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Bw. Said Hassan Said. Katika mazungumzo yao viongozi hao wamebadilishana mawazo ya namna ya kushirikiana katika utekelezaji wa majukumu yao ya kila siku yanayosimamia masuala ya sheria na utaoaji haki. Pichani Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar Bw. Said Hassan Said akimkabidhi Dk. Adelardus Kilangi Katiba ya Zanzibar ( picha na Ofisi ya AG

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.