Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) akisalimiana na Makamu Mwenyekiti wa UWT Taifa Mhe.Thuwaiba Edington Kisasi alipowasili katika viwanja vya Ukumbi wa mikutano wa CCM Amani-Mkoa katika mkutano wa Mabaalozi Wilaya ya Mfenesini jana,[Picha na Ikulu], 09/05/2018.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein (wa pili kushoto) Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Magharibi Kichama Mohamed Rajab (kushoto) Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Mfenesini Kesi Mashaka Ngusa (kuli),Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi (wa pili kulia) na Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dk.Abdalla Juma Sadala (katikati),wakiimba Wimbo wa chama cha Mapinduzi mara baada ya kuingia katika Ukumbi wa CCM Amani Mkoa jana wakati wa Mkutano wa Mabaalozi Wilaya ya Mfenesini,[Picha na Ikulu], 09/05/2018.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Magharibi Kichama Mohamed Rajab (kushoto)Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi (kulia) na Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dk.Abdalla Juma Sadala (wa pili kulia),wakiimba Wimbo wa Mashujaa"Sisi Sote Tumegomboka"wakati wa Mkutano wa Mabaalozi Wilaya ya Mfenesini uliofanyika Jana katika Ukumbi wa CCM Amani Mkoa[Picha na Ikulu], 09/05/2018.
Wajumbe wa Halamashauri Kuu ya CCM Taifa (NEC) na Baadhi ya Mabalozi wa Wilaya ya Mfenesini Mkoa wa Magharibi Kichama wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) katika Mkutano wa kuimarisha Chama cha Mapinduzi Uliofanyika jana katika ukumbi wa CCM Amani-Mkoa,[Picha na Ikulu,] 09/05/2018.
Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Mfenesini Kesi Mashaka Ngusa alipokuwa akimakaribisha Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Magharibi Kichama Mohamed Rajab (hayupo pichani) katika Mkutano wa Mabalozi wa Wilaya ya Mfenesini Mkoa wa Magharibi Kichama katika kuimarisha Chama cha Mapinduzi Uliofanyika jana katika ukumbi wa CCM Amani-Mkoa,[Picha na Ikulu,] 09/05/2018.
Wajumbe wa Halamashauri Kuu ya CCM Taifa (NEC) na Baadhi ya Mabalozi wa Wilaya ya Mfenesini Mkoa wa Magharibi Kichama wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) katika Mkutano wa kuimarisha Chama cha Mapinduzi Uliofanyika jana katika ukumbi wa CCM Amani-Mkoa,[Picha na Ikulu,] 09/05/2018.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) alipokuwa akizungumza na Viongozi wa Mashina (Mabalozi) Wenyeviti wa Matawi ya CCM,Makatibu wa Kaskani wa Wilaya ya Mfenesini CCM Mkoa wa Magharibi Kichama uliofanyika jana katika Ukumbi wa CCM Amani –Mkoa,[Picha na Ikulu,] 09/05/2018.
Viongozi na Baadhi ya Mabalozi wa Wilaya ya Mfenesini Mkoa wa Magharibi Kichama wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) alipozungumza nao jana katika Mkutano wa kuimarisha Chama cha Mapinduzi Uliofanyika katika ukumbi wa CCM Amani-Mkoa,[Picha na Ikulu,] 09/05/2018.
No comments:
Post a Comment