Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kusini Pemba Sheikhan Mohammed Sheikhan,akimkabidhi msaada wa Vyakula kwa Watoto wanaoishi katika mazingira Magumu Kisiwani Pemba,kuelekea siku ya Mtoto wa Afrika Dunaini ambayo siku hiyo huadhimishwa kila ifikapo JUNI 16 ya kila mwaka, jeshi la polisi Mkoa wa kusini Pemba, limelazimika kutoa msaada wa chakula kwa watoto 30 mayatima, wanaoishi katika amzingira magumu na walemavu, kupitia dawati la jinsia la watoto
VIKUNDI 49 VYA WANAWAKE WAJASIRIAMALI MBULU MJI KUPATA MIKOPO YA MILIONI 168
-
Na Mwandishi wetu, Mbulu
VIKUNDI 49 vya wanawake wajasiriamali waliopo kwenye Halmashauri ya Mji wa
Mbulu Mkoani Manyara, wanatarajia kupatiwa mikopo ya S...
52 minutes ago
No comments:
Post a Comment