Habari za Punde

Innalilah Waina Illahi Rajuun Maalim Seif Nassor Mohammed.


Maalim Seif Nassor Mohammed Al Harthiy (Seif Mshumaa) amefariki maziko yake yatafanyika Michenzani Jumba namba 6 Alaasiri. Alizaliwa 6/6/1936. Aliwahi kuwa Mwalimu,  Producer Manager wa Televishion Zanzibar (TVZ) na Mwanasiasa na pia Mwanasoka maarufu aliyeshinda katika mashindano mbali mbali. Maelezo yake mengine hapa chini.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.