Mafundi wa Mamlaka ya Maji Zanzibar ZAWA Wakiwa Katika Zoezi la Kuunga Bomba la Maji Safi na Salama Lililopasika Maisara.

Mafundi wa Mamlaka ya Maji Zanzibar ZAWA wakiwa katika zoezi la kuunganisha bomba la maji safi na salama lililopasuka katika eneo la maisara kutokana na kuchakaa kwake na kubadilisha kwa kuweka jipya ili kuendelea kutowa huduma ya maji kwa wateja wao wa maeneo ya kikwajuni na maeneo ya mji mkongwe.Bomba hilo limeunganishwa miaka mingi wakati wa maonesho yaliofanyika katika viwanja maisara kizingo ili kutowa huduma kwa wananchi wanaofika katika maonesho wakati huo.


Post a Comment

0 Comments