Habari za Punde

Msikiti wa Maisara Zanzibar Ukiwa Katika Umalize Wa Ujenzi Wake.

Msikiti wa Maisara Zanzibar ukiwa katika hatua za mwisho yaUjenzi wake kama unavyoonekana picha ukiwa katika mazingira mazuri ya kupendeza baada ya kukamilika ujenzi huo katika hatua za mwazo. Msikiti huu ulikuwa mdogo na kupata ufadhili na kujengwa wa horofa moja na kuchukua waumini wengi katika Ibada ya Sala.



No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.