Habari za Punde

Wafanyakazi wa Baraza la Manispa Zanzibar Wakiwa katika Zoezi la Kuondoka Kontena la Takataka Maeneo Maisara.

Wafanyakazi wa Baraza la Manispa Zanzibar wakiwa katika zoezi la kuondoa Kontena la Taka lililojaa katika eneo la maisara na kuweka jengini ili kuwe mazingira mazuri ya eneo hilo. Kama lilivykutwa na Mpiga picha wetu akiwa katika mizungumko ya mitaani Unguja. 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.