Habari za Punde

WAKINA MAMA 925,342 NCHINI WASAJILIWA NA MRADI WA TUMAINI LA MAMA


Kaimu Mkurugenzi wa Mkuu wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya Mbaruku Mgawa akizungumza wakati wa kikao kazi cha kujadili utekelezaji wa mradi wa “Tumaini la mama kwa viongozi na watendaji mkoani Tanga kilichofanyika mjini Korogwe katikati ni Meneja wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya Mkoani Tanga (NHIF) Ally Mwakababu
 MKUU wa mkoa wa Tanga Martine Shigella akizungumza wakati akifungua kikao hicho kushoto ni Kaimu Mkurugenzi wa Mkuu wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya Mbaruku Mgawa na Meneja wa Mfuko huo mkoani Tanga Ally Mwakababu
 Katibu Tawala wa Mkoa wa Tanga Mhandisi Zena Saidi akizungumza katika kikao hicho kushoto ni Mkuu wa mkoa wa Tanga Martine Shigella akifuatiwa na Kaimu Mkurugenzi wa Mkuu wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya Mbaruku Mgawa
 KAIMU Mkuu wa wilaya Korogwe ambaye pia ni Mkuu wa wilaya ya Handeni Godwin Gondwe akizungumza katika kikao hicho kushoto ni Mganga Mkuu wa mkoa wa Tanga Dkt Asha Mahita
 Meza kuu wakifuatilia hoja mbalimbali za wajumbe kwenye kikao hicho
 Wajumbe wa kikao hicho wakifuatilia hotuba ya Mkuu wa Mkoa wa Tanga Martine Shigella wa kwanza kushoto ni Mkuu wa wilaya ya Mkinga Mark Yona,Mkuu wa wilaya ya Tanga Thobias Mwilapwa,Mkuu wa wilaya ya Muheza Mhandisi Mwanasha Tumbo na Mganga Mkuu wa Jiji la Tanga (CMO) Jairy Khanga

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.