6/recent/ticker-posts

Matukio ya Picha Mitaani Zenj leo.

Msongamano wa magari katika barabara ya Mji Mkongwe Zanzibar wakati wa mchana huu zikiwa katika msongamano ambao kwa kiasi kikubwa umesababishwa na kuanze ujenzi wa jengo la Ajabu pamoja na bara bara ya Mji Mkongwe kuwa ni  ya njia moja tu - One Way Traffic

Post a Comment

0 Comments