Habari za Punde

Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Watu wa Zanzibar Ltd Zanzibar Ndg. Juma Ameir Hafidhi Ajumuika na Wateja Kuadhimisha Miaka 52 ya PBZ Zanzibar Tangu Kuazishwa.

Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Watu wa Zanzibar Ltd PBZ Ndg. Juma Ameir Hafidh akiwa na Wateja wa PBZ Islamic Bank Tawi Mpirani Zanzibar akikata keki kuadhimisha Miaka 52 ya PBZ tangu kuazishwa kwake Zanzibar kutowa huduma za Kibenki kwa Wananchi wa Zanzibar, Hafla hiyo imefanyika Makao Makuu ya PBZ Jengo la Bima Mpirani Zanzibar.
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Watu wa Zanzibar Ltd Ndg. Juma Ameir Hafidh akitowa huduma kwa Wateja wa PBZ Islamic Bank Makao Makuu Mpirani Zanzibar, wakati wa hafla ya kuadhimisha Miaka 52 ya PBZ Zanzibar

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.