Habari za Punde

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, Azungumza na Uongozi wa Wizara ya Fedha na Mipango Zanzibar.


Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) alipokuwa akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Fedha na Mipango katika utekelezaji mpango kazi wa mwaka 2017/2018 kwa taasisi zilizo chini ya Wizra hiyo,katika Ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) alipokuwa akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Fedha na Mipango katika utekelezaji mpango kazi wa mwaka 2017/2018 kwa taasisi zilizo chini ya Wizara hiyo,katika Ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar
 Waziri wa Fedha na Mipango Mhe.Khalid Salım Mohamed (katikati) alipokuwa akiwasilisha Taarifa ya  utekelezaji mpango kazi wa mwaka 2017/2018 kwa taasisi zilizo chini ya Wizara hiyo katika mkutano wa Uongozi uliofanyika leo chini ya Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) Ikulu Mjini Zanzibar,(kulia) Katibu Mkuu Kiongozi Dkt.Abduhamid Yahya Mee  na Kamishana wa ZRB Ndg.Joseph Abdalla Meza.
[Picha  na Ikulu.] 30/06/2018.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.