Habari za Punde

Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa Amtembelea Waziri Dkt. Hamisi Kigwangalla Hospitali ya Muimbili Jijini Dar es Salaam.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amjulia hali.Waziri wa Maliasili na Utalii, Dkt. Hamisi Kigwangalla,  leo Agosti 26/2018 .akiwa anaendelea kupatiwa  matibabu katika Wodi 
aliyo lazwa ya Taasisi ya Tiba ya Mifupa,  Muhimbili (MOI)
 (Picha na Ofisi ya Waziru Mkuu )

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.