MENEJA wa kamapuni ya Kizalendo ya Tanzania MECCO Nassor Ramadhan, akizungumza na waandishi wa habari mara baada ya kukabidhiwa barabara ya Wawi Mabaoni yenye urefu wa kilomita 3 inayojengwa na serikali, makabidhiwano hayo yalishuhudiwa na Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi Mawasiliano na Usafirishaji Zanzibar Mustafa Aboud Jumbe wa kwanza kutoka kushoto
KATIBU mkuu wizara ya ujenzi Mawasiliano na usafirishaji Zanzibar Mustafa Aboud Jumbe, akikagua athari za mvua za masika zilizotokea mwaka jana katika eneo la Mungu Yupo katika barabara ya mkoani chake chake
KATIBU mkuu wizara ya ujenzi Mawasiliano na usafirishaji Zanzibar Mustafa Aboud Jumbe, akimuonyesha picha za athari za mvua kubwa zilizonyesha mwaka jana na kuathiri barabara ya mkoani chake chake katika eneo la Mungu Yupo Mkoani, Mkurugenzi mipango Sera na utafiti Khatib Mohamed Khatib, wakati alipokagua barabara hiyo(PICHA NA ABDI SULEIAN, PEMBA)
WATUMISHI REA WAPONGEZWA
-
Watumishi wa Wakala wa Nishati Vijijini (REA) wamepongezwa kwa kujituma na
kufanya kazi kwa bidii hali iliyopelekea mafanikio makubwa ya Wakala huo
ikiwa...
1 hour ago

No comments:
Post a Comment