Habari za Punde

Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Tanzania Bara Mhe. Philip Mangula Azinduzi Kampenui za Mgombea Uwakilishi Jimbo la Jangombe Zanzibar Ndg Ramadhan Hamza Chande Viwanja Vya Matarumbeta.

Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Tanzania Bara Mhe. Philip Mangula, akifurahia wakati Mgombea Uwakilishi Jimbo la Jangombe Ndg. Ramadhani Hamza Chande akikabidhiwa Ilani ya Chama cha Mapinduzi na Mbunge wa Jimbo hilo Mhe. Ali Hassan King,kulia wakati wa uzinduzi wa Kampeni zilizofanyika katika viwanja vya Matarumbeta  Zanzibar. 
Mgombea Uwakilishi kupitia Chama Cha Mapinduzi Ndg Ramadhan Hamza Chande akinesha Ilani ya Uchaguzi ya CCM baada ya kukabidhiwa na Mbunge wa Jimbo hilo Mhe. Ali Hassan King, katikati Makamu Mwenyekiti wa CCM Tanzania Bara Mhe. Philip Mangula. 
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Tanzania Bara Mhe.Philip Mangula akimkabidhi Katiba ya CCM Mgombea wa Uwakilishi wa Jimbo la Jangombe Zanzibar Ndg. Ramadhan Hamza Chande wakati wa uzinduzi wa Kampeni ya Uchaguzi Mdogo Jimbo la Jangombe Zanzibar, uliofanyika katika viwanja vya Matarumbeta Zanzibar.
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Tanzania Bara Mhe. Philip Mangula akimkabidhi bendera ya CCM Mgombea wa CCM Jimbo la Jangombe Ndg. Ramadhani Hamza Chande wakati akizindua Kampeni za CCM katika viwanjavya Matarumbeta Zanzibar na kumtambulisha Mgombea kwa Wananchi wa Jimbo hilo.
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Tanzania Bara Mhe. Philip Mangula akimtambulisha Mgombea wa CCM wa Jimbo la Jangombe Zanzibar Ndg. Ramadhani Hamza Chande wakati wa Mkutano wa Uzinduzi wa kampeni hizo katika viwanja vya Matarumbeta Zanzibar.
Wanachama wa Chama Cha Mapinduzi Jimbo kla Jangombe Zanzibar wakishangilia wakati wa kutambulishwa kwa Mgombea wao Ndg. Ramadhan Hamza Chande na Makamu Mwenyekiti wa CCM Tanzania Bara Mhe. Philip Mangula katika viwanja vya Matarumbeta Zanzibar.
Mwenyekiti Mtaasf wa CCM Mkoa wa Mjini Ndg. Borafa Silima akizungumza na kuwasalimia Wanachama wa CCM wa Jimbo la Jangombe akiwa na Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Mjini Mhe. Talib Ali Talib, wakati wa hafla ya Uzinduzi wa Kampeni ya Jimbo hilo katika viwanja vya Matarumbeta Zanzibar.
 Mbunge wa Jimbo la Ukonga Tanzania Bara  Mhe Mwita Waitara akiwasalimia Wananchi wa Jimbo la Jangombe wakati wa  mkutano wa uzinduzi wa Kampeni ya Mgombea Uwakilishi wa Jimbo hilo katika viwanja vya matarumbeta. 
Mwakilishi wa Jimbo la Uzini Zanzibar Mhe. Mohammed Raza Daramsi, akizungumza na kuwasalimia Wananchi wa Jimbo la Jangombe wakati wa Mkutano wa Uzinduzi wa Kampeni za Uwakilisha za jimbo hilo katika viwanja vya matarumbeta Zanzibar.
Mwakilishi wa Jimbo Mtoni Zanzibar Mhe Hussein Ibrahim Makungu akiwasalimia na kumuombea Kura Mgombea wa Uwakilishi Jimbo la Jangombe Zanzibar Ndg Ramadhan Hamza Chande, katika viwanja vya Matarumbeta Zanzibar, kushoto Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Mjini Unguja Mhe. Talib Ali Talib.
Naibu Katibu wa Chama Cha Mapinduzi Zanzibar Dr. Abdalla Juma Mabodi akizungumza wakati wa Mkutano wa Kampeni katika viwanja vya Matarumbeta Zanzibar kabla ya kumkaribisha Makamu Mwenyekiti wa CCM Tanzania Bara Mhe. Philip Mangula kuzindua Kampeni hizo na kumtambulisha Mgombea kwa Wananchi wa Jimbo la Jangombe Zanzibar.
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Tanzania Bara Mhe. Philip Mangula akihutubia na kuzindua Rasmin Kampeni za CCM na kumnadi Mgombea kwa Wananchi wa Jimbo hilo katika viwanja vya Matarumbeta Zanzibar. Akionesha picha ya Mgombea wa CCM katika mkutano huo., Wananchi wa Jimbo la Jangombe Zanzibar wakimshangilia Mgombea wao Ndg. Ramadhan Hamza Chande akihutubia na kutangaza Sera zake kwa Wananchi na kuomba katika viwanja vya matarumbeta Zanzibar.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.