Habari za Punde

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein Afungua Mkutano wa Jukwaa la Tisa la Baraza la Biashara Zanzibar.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi.Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, Mwenyekiti wa Baraza la Biashara la Taifa Zanzibar, akihutubia Mkutano wa Jukwaa la Tisa la Biashara Zanzibar katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil akifungua mkutano huo,ulifanyika katika ukumbi huo Unguja.
Waziri wa Biashara na Viwanda, Mhe.Balozi Amina Salum Ali akizungumza katika Jukwaa la Biashara la tisa la Zanzibar lililofanyika katika ukumbi wa Sheikh Idrissa Abdul wakil uliopo Kikwajuni Unguja
Katibu Mkuu Kiongozi Mwenyekiti wa Kamati Tendaji ya Baraza la Taifa la Biashara Zanzibar (ZNBC), Dk. Abdulhamid Yahya Mzee akiwakaribisha waalikwa katika ufunguzi wa Jukwaa la Biashara la tisa la Zanzibar lililofanyika katika ukumbi wa Sheikh Idrissa Abdul wakil uliopo Kikwajuni Unguja
Mawaziri wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar wakifuatilia Mkutano wa Jukwaa la Tisa la Baraza la Biashara Zanzibar, uliofanyika katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil kikwajuni Zanzibar,wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe Dk.Ali Mohamed Shein, Mwenyekiti wa Baraza hilo akihutubia wakati wa ufunguzi wake.ulilofanyika katika ukumbi wa Sheikh Idrissa Abdul wakil uliopo Kikwajuni Unguja 
Rais wa Jumuia ya Wafanyabiashara, Wenyeviwanda na Wakulima Zanzibar (ZNCCIA), Taufik Salim Turky akitoa salamu za jumuia hiyo katika Jukwaa la Biashara la tisa la Zanzibar lililofanyika katika ukumbi wa Sheikh Idrissa Abdul wakil uliopo Kikwajuni Unguja
Mwakilishi wa Baraza la Taifa la Biashara la Tanzania (TNBC), Kaisi Kabenga akitoa salamu za baraza hilo katika jukwaa la Biashara la tisa la Zanzibar lililofanyika katika ukumbi wa Sheikh Idrissa Abdlul wakil uliopo Kikwajuni Unguja

Wasshiri wa Jukwaa la Biashara la tisa la Zanzibar kutoka sekta binafsi  wakiwa katika jukwaa hilo lililofanyika katika ukumbi wa Sheikh Idrissa Abdlul wakil uliopo Kikwajuni Unguja.(Picha na Haroub Hussein )

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.