Habari za Punde

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, Akiwasili Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Akitokea Nchini Kenya Alikohudhuria Mkutano wa Blue Economy.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akiwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar akitokea Nchini Kenya, akiwa katika ziara yake ya Siku Tatu na kuhudhuria Mkutano wa Kimataifa wa Uchume Endelevu (Sustainable Blue Economy) uliofanyika Jijini Nairobi Kenya.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Balozi Seif Ali Iddi alipowasili Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar akitokea Nchini Kenya alipokuwa akihudhuria Mkutano wa Uchumi Endelevu wa Bahari.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Katibu Mkuu Kiongozi Dkt. Abdulhamid Yahya Mzee,alipowasili Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar,akiokea Nchini Kenya.   
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Wakuu wa Vikosi vya Ulinzi na Usalama Zanzibar alipowasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar, akitokea ziarani Nchini Kenya alipokuwa akihudhuria Mkutano wa Kimataifa wa Sustainable Blue Economy.
R

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.