Habari za Punde

Meli ya Sea Star yawasili Bandari ya Wete

 WANANCHI mbali mbali wakiwa katika bandari ya Wete wakisubiri ujio wa meli mpya sea star 1. (PICHA NA SAID ABDULRAHMAN  PEMBA)
 MKUU wa Mkoa wa Kaskazini Pemba Omar Khamis Othman alizungumza na viongozi na wananchi waliofika katika bandari ya Wete kwa ajili ya kupokea meli ya Sea Star inayomilikiwa na kampuni ya Sea Feries.
(PICHA NA SAID ABDULRAHMAN  PEMBA)

 MELI ya Sea Star ikiwa karibu na gati ya Wete,ikitokea katika bandari ya Zanzibar, (PICHA SAID ABDULRAHMAN  PEMBA)
 MELI ya Sea Star inayomilikiwa na kampuni ya Sea Feries tayari ikiwa imetia nanga katika bandari ya Wete,Pemba (PICHA NA SAID ABDULRAHMAN PEMBA)
 MKUU wa Mkoa wa Kaskazini Pemba Omar Khamis Othman akiwa pamoja na viongozi na wananchi wa Mkoa huo kushuhudia kutia nanga kwa meli ya Sea Star huko katika bandari ya Wete. (PICHA NA SAID BDULRAHMAN PEMBA)
 MMILIKI wa kampuni ya Sea Feries ‘Turki’ akizungumza na viongozi mbali mbali na wananchi waliofika bandarini Wete kupokea meli ya kampuni hiyo,(PICHA NA SAID ABDULRAHMAN  PEMBA)
 MKUU wa Mkoa wa Kaskazini Pemba Omar Khamis Othman akizingumza na wananchi mbali mbali wa Mkoa huo baada ya meli ya kampuni ya Sea Feries Sea Star 1 kufunga gati huko Wete.(PICHA NA SAID ABDULRAHMAN PEMBA)
 MKUU wa Mkoa wa Kaskazini Pemba, Omar Khamis Othman, akiwa na wananchi mbali mbali katika dua ya pamoja kuiombea meli ya Sea Star 1 baada ya kuwasilikutoka Unguja katika bandari ya Wete, ambapo meli hiyo ilifunga gati (PICHA NA SAID ABDULRAHMAN  PEMBA)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.