Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza katika mazishi ya Hidaya Omar, mke wa Mufti wa Tanzania, Abubakary Zubier  yaliyofanyika katika kijiji cha Kwamdolwa wilayani Korogwe
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa  akishiriki katika sala ya jeneza  wakati wa mazishi ya Hidaya Omar, Mke wa Mufti wa Tanzania, Abubakary Zubeir  (kushoto kwa Waziri Mkuu) yaliyofanyika katika kijiji cha Kwamdolwa wilayani Korogwe, Januari 31, 2019. Kulia kwa Waziri Mkuu ni Sheikh Mohammed Kigoda aliyeongoza sala hiyo na kushoto ni Sheikh wa Mkoa wa Dar es salaam,  Alhad Mussa Salum
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiagana na Mufti wa Tanzania, Abubakary Zubeir  baada ya kushiriki katika mazishi ya Hidaya Omar, mke wa Mufti ,yaliyofanyika  katika kijiji cha Kwamdolwa wilayani Korogwe, Januari 31, 2019. Katikati ni Sheikh wa Mkoa wa Dar es salaam, Alhad Mussa Salum. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:
Post a Comment