Habari za Punde

Benki ya Watu wa Zanzibar PBZ Kuweka Maduka ya Kubadilishia Fedha za Kigeni Zanzibar.

Mkurugenzi Mtendaji Benki ya Watu wa Zanzibar Limited (PBZ) Ndg.Juma Ameir Hafidh akizungumza  na Waandishi wa habari wa vyombo mbalimbali vilioko Zanzibar, kuhusiana na kuanzisha Maduka ya Kubadilishia Fedha za Kigeni Zanzibar, kwa Wananchi na Wafanya biashara, katika matawi yake, hafla hiyo imefanyika katika Ofisi Kuu ya PBZ Mpirani Zanzibar.
Mkurugenzi Mtendaji wa PBZ Ndg Juma Ameir Hafidh, akisisitiza jambo wakati wa mkutano wake na Waandishi wa habari wa vyombo mbalimbali viliko Zanzibar kuhusiana na ufunguaji wa Matawi ya kubadilisha Fedha za Kigeni. mkutano huo umefanyika katika ukumbi wa Makao Makuu ya PBZ Jengo la Bima Mpirani Zanzibar.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.