Habari za Punde

CCM Yakabidhi Fedha Kwa Wananchi wa Kisiwa Cha Uvinje Kuungiwa Umeme Ikiwa ni Ahadi ya Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar. Dr. Juma Mabodi Alioitowa Kwa Wananchi Hao.

MWENYEKITI wa CCM Wilaya ya Chake Chake Pemba Ndg.Khamis Salum Khamis akimkabidhi Afisa Mdhamini Wizara ya Ardhi, Nyumba na Nishati Pemba Ndg.Juma Bakari Alawi, shilingi 7,500,000/= malipo ya kuungiwa umeme nyumba 15 za wananchi wa kiiswa cha Uvinje, ikiwa ni ahadi iliyotolewa na Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar wakati wa uzinduzi wa umeme kisiwani huko, katika maadhimisho wa miaka 55 ya Mpainduzi ya Zanzibar.
(Picha na Hanifa Salim -Pemba)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.