Habari za Punde

Kongamano la Kumpongeza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein,

Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake Tanzania Bi. Gaudensia Kabaka akimkabidhi zawadi ya Saa Makamu wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, wakati wa Mkutano wa Kongamano lililoandaliwa na UWT Kumpongeza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk Ali Mohamed Shein, lililofanyika katika Hoteli ya Verde Mtoni Zanzibar.
Makamu wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Samia Suluhu Hassan, akiwasili katika viwanja vya Hoteli ya Verde Mtoni Zanzibar kuhudhuria hafla ya Kongamano la Kumpongeza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein.akisalimiana na Mwenyekiti wa UWT Taifa Bi. Gaudinsia Kabaka.


No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.