Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais Mhe. Mohammed Aboud Mohammed alipowasili katika viwanja vya Afisi Kuu Kisiwandui kuhudhuria hafla ya kisomo cha Hitma kumuombea Marehemu Mzee Abeid Amani Karume.
KAMATI YA BUNGE YAIAHIDI KAMPUNI YA ALAF USHIRIKIANO
-
-Kamati ya Bunge yaiahidi ALAF ushirikiano
Na Mwandishi Wetu
KAMATI ya Kudumu ya Bunge ya Viwanda, Biashara, Kilimo na Mifugo imefanya
ziara katika k...
1 hour ago
0 Comments