Habari za Punde

Harakati Katika Mji wa Chakechake Pemba Katika Kipindi cha Mfungo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhan.


Wananchi Kisiwani Pemba wakiwa katika harakati katika marikiti Kuu ya Chakechake Kisiwani Pemba wakijitafutia mahitaji kwa ajili ya futari, kama walivyokutwa na Kamera yatu ikiwa mitaani.


No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.