Habari za Punde

Inna Lillaahi Wainaa Raajiuun Mzee Wetu Ali Juma Shamuhuna

Kwa Mujibu wa Taarifa zilizotufikia Mzee Wetu Ali Juma Shamuhna amefariki dunia leo jioni na aliyekuwa Waziri wa zamani wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar katika nyadhifa mbalimbali Zanzibar amefari leo jioni. 

Na maziko yake yanatarajiwa kufanyika Kijiji Kwao Donge kesho baada ya sala wa adhuhuri

Mwenyenzi Mungu Amlaze Mahala Pema Peponi Ameen.

2 comments:

  1. Poleni sana wafiwa! Allah awape subra! Hata hivyo nimesikitishwa sana na kutokukamilika kwa taarifa yenyewe taarifa za namna hii hutakiwa kueleza pia wasfu wa marehemu Z'bar ilivyo ndogo tunashindwa kupata wasfu wa Mhe Shamhuna?

    ReplyDelete
  2. Inna lillah wainna ilaihi raji'uun

    ReplyDelete

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.