Habari za Punde

Mwenyekiti wa CCM Rais Dkt. John Magufuli Aongoza Kikoao cha Maadili na Usalama Pamoja na Kamati Kuu Lumumba.

Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) ambaye pia ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt. John Pombe Magufuli akiongoza kikao cha Kamati Kuu ya Chama cha Mapinduzi kilichofanyika katika ofisi ndogo za Makao Makuu ya Chama hicho Lumumba Jijini Dar es salaam. 
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) ambaye pia ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt. John Pombe Magufuli akiongoza kikao cha Maadili na Usalama cha Chama kilichofanyika katika ofisi ndogo za Makao Makuu ya Chama Lumumba Jijini Dar es salaam, kushoto Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, Mjumbe wa Kamati Kuu Mkhe. Samia Suluhu Hassan na Mjumbe wa Kamati Kuu Mhe. Kassim Majaliwa.
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) ambaye pia ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt. John Pombe Magufuli akiongoza kikao cha Maadili na Usalama cha Chama kilichofanyika katika ofisi ndogo za Makao Makuu ya Chama hicho Lumumba Jijini Dar es salaam. June 26, 2019
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) ambaye pia ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt. John Pombe Magufuli akiongoza kikao cha Kamati Kuu ya Chama cha Mapinduzi kilichofanyika katika ofisi ndogo za Makao Makuu ya Chama hicho Lumumba Jijini Dar es salaam.  
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) ambaye pia ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Makamu mwenyekiti wa CCM na Rais wa Zanzibar Mhe. Dkt Ali Mohamed Shein mara baada ya kikao cha Maadili na Usalama pamoja na kikao cha Kamati kuu ya Chama Cha Mapinduzi  vilivyofanyika katika ukumbi wa Ofisi ndogo za Makao Makuu ya Chama hicho Lumumba Jijini Dar es salaam. June 26, 2019
PICHA NA IKULU

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.