Habari za Punde

Uzinduzi wa Shamba la Utalii wa Ndani na Wageni Kitundu Wilaya ya Magharibi B Unguja

Muwekezaji Mzalendo wa Kituo cha Utalii Shamba la Viungo na Miti aina mbalimbali ya Viungo Zanzibar Ndg. Ali Khamis akizungumza wakati wa hafla ya uzinduzi huo uliofanyika katika eneo la Kituo hicho Kitundu Zanzibar , akitowa maelezo ya Uwekezaji huo kwa wageni waalikwa. 
Waziri wa Habari Utalii na Mambo ya Kale Zanzibar Mhe.Mahmoud Thabit Kombo akihutubia wakati wa hafla ya ufunguzi wa Kituo cha Shamba la Utalii la Viungo katika eneo la Kitundu Wilaya ya Magharibi B Unguja.


No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.