Habari za Punde

Makatibu Tawala wa Mikoa na Wilaya Kisiwani Pemba Wapata Mafunzo

Afisa Mdhamini Wizara ya Nchi Ofisi ya Rais Tawala la Mikoa Serikali za Mitaa na Idara Maalumu za SMZ, Juma Nyasa Juma akizungumza wakati ufunguzi wa mafunzo ya siku tatu kwa Makatibu Tawala wa Mikoa na Wilaya, Wakurugenzi wa Halmashauri na Mabaraza ya Miji, Wasaidiazi Makatibu Tawala Mikoa na Wasaidizi wakurugenzi wa Serikali za Mitaa yaliyofanyika mjini Chake Chake.
NAIBU waziri Wizara ya Nchi Ofisi ya Rais Tawala ni Mikoa Serikali za Mitaa na Idara Maalumu za SMZ, Shamata Shaame Khamis akifungu mafunzo ya siku tatu kwa Makatibu Tawala wa Mikoa na Wilaya, Wakurugenzi wa Halmashauri na Mabaraza ya Miji, Wasaidiazi Makatibu Tawala Mikoa na Wasaidizi wakurugenzi wa Serikali za Mitaa yaliyofanyika mjini Chake Chake.
BAADHI ya Makatibu Tawala wa Mikoa na Wilaya, Wakurugenzi wa Halmashauri na Mabaraza ya Miji, Wasaidiazi Makatibu Tawala Mikoa na Wasaidizi wakurugenzi wa Serikali za Mitaa, wakifuatia ufunguzi wa mafunzo ya siku tatu ya utendaji kazi yaliyotolewa na Wizara yao na kufanyika mjini Chake Chake.
MKUU wa Mkoa wa Kaskazini Pemba Omar Khamis Othaman, akitoa neno la shukurani kwa niaba ya washiriki wa mafunzo ya siku tatu yaliyowashirikisha Makatibu Tawala wa Mikoa na Wilaya, Wakurugenzi wa Halmashauri na Mabaraza ya Miji, Wasaidiazi Makatibu Tawala Mikoa na Wasaidizi wakurugenzi wa Serikali za Mitaa yaliyofanyika mjini Chake Chake
MKUU wa Wilaya ya Wete Kepteni Khatib Khamis Mwadini wa kwanza kushoto akibadilishana mawazo na mkuu wa Wilaya ya Mkoani Issa Juma Ali, wakati wa mafunzo ya siku ya tatu kwa Makatibu Tawala wa Mikoa na Wilaya, Wakurugenzi wa Halmashauri na Mabaraza ya Miji, Wasaidiazi Makatibu Tawala Mikoa na Wasaidizi wakurugenzi wa Serikali za Mitaa yaliyofanyika mjini Chake Chake
MKUFUNZI wa Mafunzo ya Uongozi na Utawala bora kutoka chuo cha Serikali za Mitaa Homboro Dodoma, Dkt Lazao Zumbe akiwasilisha mada yake, kwa Makatibu Tawala wa Mikoa na Wilaya, Wakurugenzi wa Halmashauri na Mabaraza ya Miji, Wasaidiazi Makatibu Tawala Mikoa na Wasaidizi wakurugenzi wa Serikali za Mitaa yaliyofanyika mjini Chake Chake.(Picha na Abdi Suleiman - Pemba)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.