Aliyekuwa Waziri wa Nchi Ofisi
ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. January Makamba akikabidhi Ofisi
kwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. George
Boniface Simbachawene katika Ofisi ndogo ya Makamu wa Rais jijini Dar es Salaam.
Picha ya pamoja baada ya
makabidhiano ya Ofisi: Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na
Mazingira) Mhe. George Boniface Simbachawene (kulia) Mhe. January Makamba na
Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais Mhe. Mussa Sima.
No comments:
Post a Comment