Habari za Punde

Mradi wa Ujenzi wa Jengo la Wizara ya Ardhi Maji Nyumba na Nishati na ZURA Zanzibar Likiwa Katika Hatua za Umaliziaji wa Ujenzi Huo.

 
Muonekano wa Jengo la ZURA eneo la Maisara Zanzibar kama linavyoonekana katika picha ya jengo hilo la Ghorofa Saba, Baada ya kukamilika kwa ujenzi huo litaonekana kama hivi na kutowa haiba nzuri ya Mjini wa Zanzibar. No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.