Habari za Punde

Mradi wa Usambazaji wa Mabomba ya Maji Katika Mkoani wa Mjini Magharibi Unguja Ukiendelea Katika Maeneo Mbalimbali ya Zanzibar.

Wafanyakazi wa Kampuni ya Kichina inayosambaza mabomba ya Maji Safi na Salama katika Mitaa mbalimbali ya Mkoa wa Mjini Magharibi wakiwa katika zoezi hilo katika mitaa ya Darajani wakasambaza mabomba hayo kama walivyokutwa na mpiga picha wetu wakiwa katika kazi ya kuunganisha mabomba hayo.  


No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.