Habari za Punde

Msanii Mkongwe Kutoka Nchini Afrika Kusini Sipho Aliteka Jukwaa Tamasha la Nchi za Jahazi Zanzibar ZIIF Kwa Wimbo Wake wa Zanzibar.

Msanii wa Muziki kutoka Nchini Afrika Kusini Sipho akitowa burudani ya Wimbo wake wa Zanzibar wakati wa Uzinduzi wa Tamasha la Nchi za Jahazi Zanzibar ZIFF lililofanyika katika viwanja Ngome Kongwe Zanzibar, uliofanyika jana usiku.


No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.