Habari za Punde

Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt. John Magufuli Azungumza na Wafungwa Katika Gereza la Butimba Jijini Mwanza.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Wafungwa, Mahabusu, pamoja na Askari wa Jeshi la Magereza katika Gereza la Butimba Mkoani Mwanza, akiwa katika ziara yake 
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Wafungwa, Mahabusu, pamoja na Askari wa Jeshi la Magereza katika Gereza la Butimba Mkoani Mwanza, akiwa katika ziara yake 
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimkabidhi fedha mmoja wa Afisa Mwandamizi wa Magereza ACP Shaku Umuya Umba kwa ajili ya kununulia ngombe watatunamaguniayamchele 15 iliWafungwa, MahubusunaAskarihaowapikenakulapamoja. 
RaiswaJamhuriyaMuunganowa Tanzania MheshimiwaDkt. John PombeMagufuliakitokakatikaGerezaKuu la ButimbamarabaadayakuzungumzanawafungwaMahabusu, pamojanaAskariwaJeshi la MagerezakatikaGereza la ButimbamkoaniMwanza.
RaiswaJamhuriyaMuunganowa Tanzania MheshimiwaDkt. John PombeMagufuliakizungumzanawananchiwaliokusanyikakatikaeneo la Butimba Kona naMkuyuniwakatiakitokeaGereza la Butimba.

SehemuyaWananchiwaliokusanyikakatikaeneo la Butimba Kona naMkuyuniwakimsikilizaRaiswaJamhuriyaMuunganowa Tanzania MheshimiwaDkt. John PombeMagufuliwakatialipokuwaakiwahutubia. PICHA NA IKULU

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.