Habari za Punde

Ufunguzi wa Tamasha la Tatu la Michezo ya Utaliii Kiwanja cha Gombani Kisiwani Pemba

 Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mzee Ali Hassan Mwinyi ambae ni Mgeni Rasmin akikaribishwa na Mkuu wa wilaya ya Chake-chake Rashid Hadid Rashid alipowasili  Kiwanja cha Gombani  katika Ufunguzi wa Tamasha la Tatu la Michezo ya Utalii Mwaka 2019 Kiwanajni hapo (katikati) ni Waziri wa Habari Utalii na maboyakale Mahmoud Thabiti Kombo.
 Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mzee Ali Hassan Mwinyi akipiga Penga kuashiria uzinduzi wa mbio za Nyika huko Kiwanja cha Gombani  (kushoto) ni Waziri wa Habaru Utalii na Maboyakale Mahmoud Thabit Kombokatika Tamasha la Tatu la Michezo ya Utalii ya Mwaka 2019.
 Mshindi wa Kwanza Nastoristi Naharu kutoka Timu ya Nyuki ya Tanznia Bara akiwapatia meelezo Waandishi wa Habari baada ya kuwasili Kiwanja cha Gombani katika mashindano ya Mbio za Nyika  katika Ufunguzi wa Tamasha la Tatu la Michezo ya Utaliii Kiwanja cha Gombani Kisiwani Pemba.
Rais Mstaafu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania  mzee Ali Hassan Mwinyi akimkabidhi zawadiya Ushindi wa mbio za Nyika  Mwanafunzi kutoka Skuli ya Mbuzi Pemba katika Tamasha la Utalii la Tatu la Michezo ya Utalii mwala 2019 Kiwanja cha Gombani Kisiwani Pemba.
                       Picha na Miza Othman - Maelezo Zanzibar.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.