Habari za Punde

ZECO Yatowa Elimu kwa Masheha wa Shehia ya Mkoani Kisiwani Pemba.

Ofisa Habari na Uhusiano wa Shirika la Umeme Zanzibar (ZECO) Ndg. Amour Salim Masoud akizungumza na Masheha wa Shehia za Wilaya ya Mkoani Kisiwani Pemba hafla hiyo imefanyika kjatika ukumbi wa Ofisi ya Mkuu wa Wilaya Mkoani Pemba leo.
Ofisa Mipango na Sera wa Shirika la Umeme Zanzibar (ZECO) Ndg. Ali Faki Ali, akizungumza na Masheha wa Shehia ya Wilaya ya Mkoani Kisiwani Pemba katika ukumbi wa mikutano wa Mkuu wa Wilaya ya Mkoani Pemba.
BAADHI ya Masheha wa Wilaya ya Mkoani Pemba wakiwasikikiza watendaji wa Shirika la umeme Kisiwani Pemba huko katika ukumbi wa Ofisi ya Mkuu wa Wilaya hiyo.
( Picha na Said Abdulrahman - Pemba)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.