Habari za Punde

Uzinduzi wa Masjid Tumbini Chambani Pemba.

MSIKITI wa Ijumaa wa Tumbini Chambani ukiwa umefunguliwa rasmi baada ya kumaliza kujengwa upaya na kuanza kutumika
SHEKHE Ali Hamada akitoa hutuba wakati waufunguzi wa msikiti waijumaa wa Kijijini Tumbini Chambani, baada ya mskiti huo kujengwa upaya
WAUMINI wa Dini ya Kiislamu katika kijiji cha Tumbini Chambani  na vijiji jirani, wakifuatilia kwa makini hutba ya ufunguzi wa msiki wa Ijimaa Tumbini, baada ya kujengwa upya kwa msiki huo.(Picha na Abdi Suleiman - Pemba)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.