Habari za Punde

Matukio Kutoka Bungeni Jijini Dodoma leo.

Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Kassim Majaliwa, akizungumza na wanafunzi wa shule ya Capital Dodoma, nje ya jengo la Bunge, jijini Dodoma, Septemba 6.2019.
Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Kassim Majaliwa, akizungumza na Mbunge wa Iramba Magharibi, Mwigulu Nchemba (kushoto) na Naibu Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe (katikati), Bungeni jijini Dodoma
Waziri Mkuu Mhe.Kassim Majaliwa, akizungumza na Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Lukuvi, Bungeni jijini Dodoma
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akizungumza na Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Philip Mpango, nje ya jengo la Bunge, jijini Dodoma. 
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akizungumza na Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais TAMISEMI, Mwita Waitara, nje ya jengo la Bunge, jijini Dodoma.
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akizungumza na Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto,  Ummy Mwalimu, kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma, Septemba 6.2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.