Mgeni rasmi katika Maadhimisho ya Siku ya Amani Duniani
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. George
Simbachawene akivishwa skafu na skauti alipowasili katika tukio hilo.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na
Mazingira) Mhe. George Simbachawene akiwa na viongozi wengine kuanzia kushoto
ni Mkurugenzi wa Jukwaa la Mabadiliko ya Tabianchi Rebeca Muna, Mkurugenzi wa
Mashtaka Biswalo Mganga, Mwakilishi wa Umoja wa Mataifa (UN)-Tanzania Amon
Manyama na Clara Makanya kutoka Shirika la Mazingira.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na
Mazingira) Mhe. George Simbachawene akizungumza katika Maadhimisho ya Siku ya
Amani Duniani yaliyofanyika Jijini Dodoma.
Mwakilishi wa Umoja wa Mataifa (UN)-Tanzania Amon
Manyama akitoa neno la kumkaribisha mgeni rasmi kuhutubia Maadhimisho ya Siku
ya Amani Duniani.
Sehemu ya washiriki wa Maadhimosho ya Siku ya Amani
Duniani wakifuatilia matukio.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na
Mazingira) Mhe. George Simbachawene akizungumza katika Maadhimisho ya Siku ya
Amani Duniani.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na
Mazingira) Mhe. George Simbachawene akikabidhiwa mfuko mbadala na Afisa Habari
wa Shirika la Mawasiliano la Umoja wa Mataifa (UNIC) Stella Vuzo.
Picha na OMR.
No comments:
Post a Comment