Habari za Punde

Ukaguzi wa Mashamba ya Serikali ya Mikarafuu Kisiwani Pemba.

Mawaziri Wasiokuwa na Wizara Maalum wa SMZ (MBM) kushoto Mhe. Said Soud na kuliwa wa mwisho Mhe Ali Juma Khatib wakitembelea mashamba ya Serikali Kisiwani Pemba ambayo yanamilikiwa na Serikali ya Mapinduzi Zanzibar.


Baadhi ya Mashamba ya Serikali yanayomilikiwa na Wananchi kwa maslahi yao binafsi bila ya kufuata sheria za umuliki wa eka 3 yaliotolewa na Serikali ya Mapinduzi kwa Wananchi mbali mbali.

Picha na Bakari Mussa -Pemba.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.